loading

0%

By: Admin

Sauti ya Mtoto Foundation wakiwa pamoja na Wawakilishi kutoka Benki ya NMB wakiwa katika Hospitali ya MOI kuwapatia watoto wenye Vichwa Vikubwa Faraja.

KATIKA KUELEKEA MWISHO WA MWAKA 2020, Ungana nasi katika kampeni ya NISHIKE MKONO yenye lengo la kuchangia gharama za matibabu za watoto wenye tatizo la kichwa kikubwa na mgongo wazi walio ...

By: Admin

Maadhimisho ya siku ya Mazingira Duniani

Tangu yalipozinduliwa mwaka wa 1974, maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani yamepanuka na kuwa jukwaa la kimataifa la kuhamasisha na kuchukua hatua kuhusu masuala nyeti ya mazingira kuanzia kwa uchafuzi baharini.

By: Admin

Maadhimisho Siku ya Mtoto wa Afrika

Kila mwaka tarehe 16 Juni Tanzania inaungana na Nchi zingine za Afrika kuadhimisha Siku ya Mtoto wa Afrika. Chimbuko la Maadhimisho haya ni Azimio lililopitishwa na uliokuwa Umoja wa Nchi Huru ...

By: Admin

Taasisi ya Sauti ya Mtoto Foundation( SMF) kupitia Mradi wa Sauti ya Mtoto wa Tanzania, Mradi ambao ni mahususi kwa ajiri ya kutoa elimu kwa jamii, walezi, na makundi mbalimbali

Masuala mbalimbali yanayamuhusu Mtoto, Ikiwemo haki zinazowalinda watoto, sheria zinazowalinda watoto, wajibu wa wazazi na jamii kwa ujumla juu ya namna gani wanaweza wakazitumia ili kuhakikisha usalama na ustawi wa ...