Wednesday 4th September, 2024
Maadhimisho ya siku ya Mazingira Duniani
Tangu yalipozinduliwa mwaka wa 1974, maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani yamepanuka na kuwa jukwaa la kimataifa la kuhamasisha na kuchukua hatua kuhusu masuala nyeti ya mazingira kuanzia kwa uchafuzi baharini.