loading

0%

By: admin

Taasisi ya Sauti ya Mtoto Foundation( SMF) kupitia Mradi wa Sauti ya Mtoto wa Tanzania, Mradi ambao ni mahususi kwa ajiri ya kutoa elimu kwa jamii, walezi, na makundi mbalimbali

Masuala mbalimbali yanayamuhusu Mtoto, Ikiwemo haki zinazowalinda watoto, sheria zinazowalinda watoto, wajibu wa wazazi na jamii kwa ujumla juu ya namna gani wanaweza wakazitumia ili kuhakikisha usalama na ustawi wa mtoto unalindwa.

Kupitia Sauti ya Mtoto wa Tanzania ambavyo ni vipindi vitakavyo anza kuruka kupitia runinga yako siku za usoni utaweza kujifunza mengi yatakayoweza kusaidia kumlea mtoto katika matakwa yanayotakiwa. Hivyo endelea kua karibu nasi ili kuweza kujifunza mengi zaidi.

Related post